Posts

Showing posts from June, 2021

Dhana ya Tungo

Image
Dhana ya tungo imeweza kufasiliwa na wataalamu mbalimbali,  Massamba,Kihore na Hokororo  (2012;67) wanasema tungo ni nomino ambayo hutokana na kitenzi tunga ambacho kina maana ya kushikanisha vitu kwa pamoja kwa kuptsha kitu kama uzi,ungwe, ndani yake,hivyo kataka taaluma ya sarufi neno tungo lina maana ni ambayo ni kuweka  au kupanga pamoja vipashio sahihi li kujenga kipashio kikubwa katika tungo. Kamusi teule ya Kiswahili (201;1015)  tungo kifungu cha maneno kinachoongozwa na kanuni kisarufi kataika lugha inayo husika ambapo vipashio vipashio vinapoungana huunda kipashio kikubwa zaidi. Kamusi teule ya Kiswahili(2014;632)  tungo ni kipashio cha kimuundo kipatikanacho kwa kuunganisha vipashio sahihi kuweza kupata kipashio kikubwa zaidi katika sarufi Kwa ujumla tungo ni kipashio cha kimuundo ambacho huweka pamoja il kujenga vipashio vikubwa zaidi katika sarufi. Tungo hujidhihilisha katika miundo minne ambayo ni tungo neno,tungo kirai,tungo kishazi,tungo na tungo ...